Kampeni za uchaguzi zaanza nchini Kenya
31 Januari 2013Matangazo
Jumla ya wagombea wanane watawania kiti cha urais katika uchaguzi huo. Kwa kutaka kujua hali ya mambo ilivyo Sudi Mnette amezungumza na Bobby Munga ambaye ni mchambuzi wa siasa za taifa hilo akiwa mjini Nairobi na kwanza anadokeza hali ilivyokuwa wakati wagombea wawili wakuu wa Urais Uhuru Kenyatta na Raila Odinga walipoidhinishwa na Tume Huru ya Uchaguzi. Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Mwandishi: Sudi Mnette
Mhariri:Mohammed Abdul-Rahman