Kampala: Mazungumzo yaendelea kati ya serikali ya DRC na M23
8 Januari 2013Matangazo
Wakati msuluhishi wa mgogoro wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo akikutana na wajumbe wa pande mbili hasimu katika mgogoro huo yaani serikali ya Kongo na waasi wa m23, Raia wa Kongo bado wanamatumaini kwamba pengine pendekezo la kusitishwa mapigano lililotolewa na waasi katika mkataba wa kusimamisha mapigano baina ya pande hizo mbili linaweza kupatiwa ufumbuzi. ilikujaribu kujua zaidi kuhusu hilo, mwandishi wetu John Kanyunyu alizungumza na naibu kiongozi wa ujumbe wa serikali katika mazungumzo ya Kampala Padre Appolinaire Malumalu. Kwanza Kanyunyu alitaka kujua je mazungumzo yameanza au bado?
(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi: John Kanyunyu
Mhariri:Yusuf Saumu