Rais Paul Kagame wa Rwanda amewashukuru wapigakura nchini mwake, kwa kuidhinisha mabadiliko ya katiba na kumpa uwezo wa kuiongoza nchi hadi mwaka 2034.Hata hivyo, hakutamka bayana kama atagombea tena baada ya muhula wake kumalizika mwaka 2017, au la.