1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kagame aonya wanaotishia Rwanda

18 Julai 2018

Rais wa Rwanda, Paul Kagame, ameonya kwamba atakayetangaza vita dhidi ya Rwanda awe tayari kukabiliana na nguvu kali. Ni baada ya kutokea mashambulizi ya watu wenye silaha magharibi mwa Rwanda.

https://p.dw.com/p/31hq8
Jeshi Rwanda
Picha: Getty Images/AFP/E. Musoni

J3:18.07.2018: Rwanda militant attack - MP3-Stereo