1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jumuiya ya Afrika Mashariki ina umuhimu gani?

Saumu Mwasimba25 Mei 2017

Jumuiya ya Afrika Mashariki ni muungano wa nchi sita: Kenya, Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi na Sudan Kusini. Licha ya jumuiya hiyo kushirikiana katika nyanja mbalimbali bado kuna matatizo, kuanzia kisiasa, kiuchumi na hata kiusalama. Je, jumuiya hii ina faida yoyote? Ndiyo swali analijaribu kufuatilia Saumu Mwasimba kwenye kipindi cha Maoni.

https://p.dw.com/p/2dZNI