1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Juhudi za vijana kupambana na COVID-19 Zanzibar

Salma Said4 Septemba 2020

Katika Makala ya Vijana Tugutuke, Salma Said anawashirikisha vijana visiwani Zanzibar kuhusu mchango wao kwenye vita dhidi ya virusi vya corona kupitia mpango uitwao Covid19 Hackathon.

https://p.dw.com/p/3hz6k