Hali ya mtu kuwa mkimbizi au mhamiaji haimaanishi kwamba kipaji chake kinapaswa kusahaulika au kutoweka. Ni kwa msingi huo ambao kundi liitwalo Refugee talent nchini Uganda linajaribu kukuza vipaji vya wahamiaji. Lubega Emmanuel anasimulia zaidi kwenye video hii ya #Kurunzi