Wakulima wa pareto nchini Kenya wamepata nguvu mpya, kufuatia kampeini ya wajumbe wao wanaoshinikiza kusitishwa kwa matumizi ya dawa za kuua wadudu zinazotoka mataifa ya nje zinazoaminika kuwa hatari na badala yake, wanataka kilimo cha pareto kifufuliwe. Mengi zaidi ni kwenye Makala Yetu Leo.