MigogoroMashariki ya KatiJe, waranti ya kumkamata Netanyahu inamaanisha nini?To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoMigogoroMashariki ya KatiJacob Safari21.11.202421 Novemba 2024Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ICC imetoa waranti wa kukamatwa Waziri Mkuu wa Israel Benyamin Netanyahu na aliyekuwa Waziri wake wa Ulinzi Yoav Gallant kwa uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu.https://p.dw.com/p/4nG9KMatangazo