Mashindano ya kuwania ufalme wa kandanda barani Afrika AFCON yanaendelea huko Ivory Coast na Jumatatu Cameroon watakuwa wanakwaana na Gambia kisha Algeria wacheze na Angola. Ili kuangazia jinsi mambo yalivyokwenda kufikia sasa katika michuano hii Jacob Safariu anaungana na mchambuzi wa kandanda la Afrika kutoka Dar es Salaam, Master Tindwa, sikiliza.