1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je unafahamu Rishi Sunak anakabiliwa na changamoto zipi?

Hawa Bihoga
25 Oktoba 2022

Uingereza inaye waziri mkuu mpya-Rishi Sunak ambaye ni mtu wa kwanza asiye mzungu kuushikilia wadhifa huo wa juu. Wachambuzi wanasema anakabiliwa na changamoto lukuki, zikiwemo sauti za ubaguzi zilizoanza kusikika, na mpasuko ndani ya chama chake cha Conservative. Hawa Bihoga amezungumza na Mchambizi Ahmad Rajab.

https://p.dw.com/p/4Ifd6