1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je umeweza vipi kukabiliana na janga la COVID-19?

1 Machi 2022

Ikiwa mwezi Machi inatimia miaka miwili tangu Shirika la Afya Duniani lilipoutangaza rasmi ugonjwa wa COVID-19 kuwa janga, umeweza vipi kukabiliana na janga hilo na elimu kuhusu chanjo dhidi ya virusi vya corona imetolewa vya kutosha?

https://p.dw.com/p/47mUt