Rwanda inajulikana kama nchi ya mfano wa maendeleo barani Afrika na mitaa misafi ya mji mkuu wake pamoja na majengo marefu, vinaakisi uchumi wa kisasa na jamii inayoendelea. Lakini dhana na uhalisia viko mbalimbali kabisaa kuliko wengi wanavyofikiria. Wakosoaji wa Kagame wanasema taswira ya Rwanda imesanifiwa na inaficha ukweli wa kutisha.