1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, Siku ya uhuru wa Afrika bado inathaminiwa na Mwafrika?

18 Juni 2023

Waafrika kote wanaadhimisha siku ya Uhuru wa Afrika iliyoasisiwa mwaka 1958 wakati huo rais wa Ghana, Kwame Nkrumah alipoitisha Kongamano la Kwanza la Nchi Huru lililofanyika Accra na kuhudhuriwa na nchi nane huru za Afrika. Siku hii huangazia maendeleo ya harakati za Afrika kujikomboa.Je inathaminiwa vipi? Mtangazaji nguli wa zamani wa DW, Mohammed Abdulrahman alizungumza nasi kuhusu hili.

https://p.dw.com/p/4Sjdg