SiasaUchaguzi wa Ujerumani na sera yake ya Afrika MagharibuTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaHarrison Mwilima27.08.202127 Agosti 2021Ujerumani itafanya uchaguzi mkuu mwezi Septemba utakaoufikisha mwisho utawala wa Kansela Angela Merkel. Je, sera gani itakayofuatwa na utawala ujao kuelekea bara la Afrika hasa kanda ya Magharibi.https://p.dw.com/p/3zZryMatangazo