Mbele ya Meza ya Duara, kipindi cha Maoni kinaangazia matukio ndani ya Afrika ikiwemo, rais wa Misri Abdel-Fattah Al-Sissi kuwa mwenyekiti mpya wa Umoja wa Afrika, je atakuwa na mchango gani kuisukuma ajenda ya Afrika? Na Umoja wa Afrika umetangaza mwaka huu kuwa mwaka wa wakimbizi kwa lengo la kutafuta suluhisho, je ari ya kisiasa ipo? Aneyeyaongoza mjadala ni Josephat Charo