Sura ya Ujerumani wiki hii inaangazia suala la ajira na kazi hapa nchini Ujerumani. Kwa upana inazungumzia je, mtu mwenye asili ya kigeni ana nafasi gani ya kupata kazi hapa Ujerumani? Je ana nafasi sawa na wenyeji? Elizabeth Shoo ana mengi ya kukushirikisha kupitia makala hii. Sikiliza hapa.