SiasaJe, michezo ndiyo itakayowakomboa vijana wa Afrika?To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaJacob Safari21.08.201921 Agosti 2019Vijana wa Kiafrika wametengwa na serikali zao katika sekta tofauti na mwisho wa siku wanasalia kuumia katika umaskini. Katika vijana Mubashara leo hii, Jacob Safari anaangazia iwapo michezo inaweza kuwanusuru vijana hao.https://p.dw.com/p/3OHb8Matangazo