Taarifa za kuibuka tena kwa hujuma za kundi la waasi wa M23 huko Congo ni dhahiri zinaleta kitsho kipya cha kiusalama kwenye taifa hilo la maziwa makuu. Je, kuibuka tena kwa kundi hili la M23 ambalo tangu mwaka 2013 limekuwa kimya, kunamaanisha nini kwa usalama wa raia wa Goma na Kongo kwa ujumla?