1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ipi suluhu ya kuzuia mauaji ya kiholela Kenya?

17 Oktoba 2022

Rais wa Kenya William Ruto ametangaza kuvunjwa kwa kitengo maalum kwenye idara ya upelelezi katika juhudi za kusafisha makosa yaliyotekelezwa na idara hiyo. Je, kuvunjwa kwa kitengo hicho cha polisi ndio suluhu ya mauaji ya kiholela nchini Kenya? Sikiliza mahojiano kati ya Sudi Mnette na mchambuzi wa masuala ya usalama George Musamali akiwa mjini Nairobi.

https://p.dw.com/p/4IH7e