Mapambano yanaendelea huku vita vikiwa katika hatua ya kutanuka zaidi katika eneo hilo la Mashariki ya kati. Vita hivyo vinakwenda sambamba na matamko ya vitisho na maonyo lakini yapo ya matumaini ya labda vinaweza kumalizika. Mchambuzi wa masuala ya Kimataifa Ahmed Rajab anautizama mgogoro huo ulipofikia.