1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaMarekani

Je, hotuba ya rais Biden imekonga nyoyo za Wamarekani?

Amina Mjahid8 Februari 2023

Rais Joe Biden wa Marekani amelihimiza Bunge kushirikiana naye ili kumaliza kile alichokiita "kumaliza kazi" ya kuujenga upya uchumi na kuliunganisha taifa, katika hotuba yake ya taifa ya hali ya taifa. Zaidi kuhusu hotuba hiyo Amina ABoubakar mchambuzi wa siasa za Marekani Professor Nicholas Boaz.

https://p.dw.com/p/4NDwt