1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, hofu ya chanjo ya Covid-19 ina msingi?

4 Juni 2021

Ulimwenguni kote watu wanahimizwa kupokea chanjo za COVID-19 ili kujilinda na kupambana na janga la virusi hivyo. Hata hivyo wapo wale ambao wana mashaka na hizo chanjo. John Juma anazungumza na afisa mkuu wa afya wa jiji la Nairobi Daktari Fredrick Ouma Oluga kuhusina na kampeni ya chanjo jijini hapo.

https://p.dw.com/p/3uQps