1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je diplomasia ina nafasi gani kusuluhisha mzozo wa Ukraine?

14 Februari 2022

Bado Urusi inazidi kushinikizwa kuwaondoa wanajeshi na zana zake za kivita katika eneo la mpaka wake na Ukraine na kuumaliza mvutano unaoendelea. Lakini je juhudi hizo zina nafasi gani ya kuufikisha mwisho mgogoro huo. Saumu Mwasimba amezungumza na mchambuzi wa siasa za kimataifa Ahmed Rajab kutoka London, Uingereza, na kwanza anatoa mtazamo wake kwa namna anavyoutazama ulipofikia mgogoro huo.

https://p.dw.com/p/46yyi