Afrika Mashariki imekuwa ikiongeza juhudi za kuwafundisha raia wake utamaduni wa Kichina hasa kupitia lugha. Nchini Kenya lugha ya Mandarin hufunzwa shuleni kama lugha teule katika mtaala wa kitaifa, lakini nchini Uganda ni somo la lazima katika baadhi ya shule. Je hu uni ubadilishanaji tu wa utamaduni au kuna mengi zaidi?