AfyaJe chanjo za COVID-19 hufanya kazi vipi?To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoAfya29.06.202129 Juni 2021Watu wengi ulimwenguni wana wasiwasi kupokea chanjo dhidi ya COVID-19 kwamba inaweza kubadilisha vinasaba vyao. Huo ni uongo. Kulingana na maelezo ya wataalamu, chanjo hizo ni salama kwako na kwa vinasaba vyako na vitakulinda dhidi ya virusi.https://p.dw.com/p/3vlOnMatangazo