Wakati mazungumzo kuhusu mchakato wa Brexit yakionekana kusuasua, huku muda ukiyoyoma, sauti za wanaotaka Scotland ipate uhuru wake, na kubaki ndani ya Umoja wa Ulaya, zimeanza kusikika tena, mara hii kwa kishindo zaidi kuliko ilivyokuwa siku za nyuma. Je, Brexit inaweza kuzaa Scoexit? Daniel gakuba anaangazia zaidi katika makala ya Mwangaza wa Ulaya.