Hili ni swali linalogonga vichwa vya habari nchini Tanzania, baada ya vyama sita vya upinzani kukutana na kutoa azimio maarufu kama 'Azimio la Zanzibar' la kuidai demokrasia. Msikilize Ado Shaibu Katibu wa Uenezi wa chama cha ACT Wazalendo akieleza hatua zilizochukuliwa.