Japan: Yukio Hatoyama achaguliwa waziri mkuu mpya
16 Septemba 2009Matangazo
Bwana Hatoyama na chama chake cha DJP, katika uchaguzi mkuu wa mwezi uliyopita, alifanikiwa kukiondoa chama cha LDP kilichotawala Japan kwa miongo kadhaa.
Na ili kufahamu zaidi niliwasiliana na mwandishi wa habari anayeishi jijini Tokyo, Ali Attas, kwanza nikitaka kufahamu watu wamelipokeaji baraza hilo jipya la mawaziri la bwana Hatoyama.