Katika kipindi cha miaka mitano nchi za Afrika Mashariki zimeshuhudia ongezeko kubwa la usafiri wa pikipiki maarufu bodaboda. Kulingana na takwimu za halmashauri ya kitaifa ya usalama barabarani Kenya NTSA, pikipiki ndio chanzo kikuu cha ajali za barabarani kwani vijana wengi wanaoziendesha hawana elimu ya usalama wa barabarani wala leseni. Sikiliza makala hii iliyoandaliwa na Halima Gongo.