1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Italia yaikataa ya kuwapokea wahamiaji zaidi ya 200

22 Juni 2018

Meli iliyokuwa na wahamiaji 200 imezuiwa kuingia katika bahari ya Italia. Hii ni mara ya pili katika kipindi cha wiki mbili kwa serikali mpya ya Italia inayopinga uhamiaji inawazikatalia meli zilizowabeba watu waliookolewa katika bahari ya Mediterania.

https://p.dw.com/p/306bb