ISTANBUL: Papa Benedikt XVI ashiriki katika misa ya Kanisa la Orthodox
30 Novemba 2006Matangazo
Baba Mtakatifu Benedikt wa 16 akiwa katika siku ya tatu ya ziara yake nchini Uturuki ameshiriki katika misa ya Kanisa la Kiorthodox.Baadae leo mchana Papa Benedikt,kama ishara ya upatanisho na Uislamu,atautembelea msikiti maarufu wa mjini Istanbul.