ISLAMABAD: Pakistan imejaribu kombora la nyuklia
9 Desemba 2006Matangazo
Pakistan imefanya jeribio la kombora la masafa ya kati lenye uwezo wa kubeba silaha za nyuklia. Inasemekana,kombora hilo linaweza kwenda umbali wa kilomita 290.Kwa mujibu wa ripoti za maafisa wa kijeshi,jeribio hilo lilikamilishwa kwa mafanikio.