Iraq kama alama ya kushindwa siasa za kilimwengu
27 Agosti 2014Matangazo
Katika makala hii ya Maoni Mbele ya Meza ya Duara, Mohammed Khelef anawaalika wachambuzi wa siasa za Mashariki ya Kati na Ghuba ya Ajemi kujadiliana nao juu ya hali ya Iraq, muendelezo wa siasa za kilimwengu kwenye eneo hilo na mustakabali wa amani na usalama katika wakati ambapo Marekani inaonekana wazi kutaka kujiingiza tena kijeshi.
Kusikiliza mjadala huu, tafadhali bonyenza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Mwandishi: Mohammed Khelef
Mhariri: Josephat Charo