1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

IEBC haijapokea barua ya Odinga kujitoa kwenye uchaguzi

12 Oktoba 2017

Tume ya Uchaguzi Kenya haijapokea barua rasmi ya Odinga kujitoa kwenye uchaguzi mpya; Ripoti ya njaa duniani imesema njaa duniani imepungua kwa zaidi ya robo moja tangu mwaka 2000; na Vyama vya Hamas na Fatah vimefikia makubaliano.

https://p.dw.com/p/2ljy8