Katika Makala ya Sura ya Ujerumani safari hii tunaangazia wimbi jipya la wakimbizi na wahamiaji wanaoomba hifadhi na jinsi Ujerumani na nchi nyingine za Umoja wa Ulaya zinavyoituhumu Belarus kwa kuchangia tatizo hilo. Mwandaaji na msimulizi ni mimi Harrison Mwilima