1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Idadi ya wanaokabiliwa na njaa duniani yapungua

12 Machi 2020

Kwa sasa, nusu ya watu waliopo duniani wanakabiliwa na njaa. Hata hivyo, hali inatisha barani Afrika. Burundi, Comoro, DRC, Sudan Kusini na Somalia ni kati ya mataifa tisa yenye njaa kali, utapiamlo na vifo vya watoto

https://p.dw.com/p/3ZIuk
Watu wenye njaa India
Picha: DW/S. Ghosh

Ripoti ya Thelma Mwadzaya kutoka Nairobi