Kesi ya aliyekuwa kamanda msaidizi wa kundi la wanamgambo la LRA la Uganda, Dominic Ongwen, yasikilizwa leo katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC. Aliyekuwa Waziri wa Ndani wa Ufaransa Bernard Cazeneuve atangazwa kuwa Waziri Mkuu wa nchi. Na, vikosi vya serikali ya Syria vyakomboa maeneo makubwa mashariki mwa mji uliozingirwa wa Aleppo.