Tangu Oktoba 15 sheria mpya ya Hungary inawazuia watu wasio na makazi kulala mitaani, na atakayekutwa atapewa adhabu kali. Lengo la serikali ni kwamba watu hao walale kwenye makazi maalumu kwa ajili yao, hawa wakati huu wa majira ya baridi kali. Hata hivyo wakosoaji wanapingana na sheria hiyo? Ni kwa nini? Sikiliza Makala ya Mwangaza wa UIaya.