HUDUMA MPYA YA UJUMBE WA SIMU YA MKONONI
23 Septemba 2014Kuwa mmoja wa wadau wapatao milioni 90 wa Kituo cha habari cha Deutsche Welle! Tuma maneno DW HABARI WASHA kwenda 15511 na daima uwe wa kwanza kujua habari kila zinapotokea. Kila ujumbe ni Shilingi 200 tu.
Usibaki nyuma! Pata habari kemkemu! Tuma DW SPOTI WASHA kwenda 15511 upokee habari za michezo kutoka kituo cha habari cha Deutsche Welle! Kila ujumbe ni Shilingi 200 tu.
Habari za kila siku za DW
Ili kupata habari za kila siku mteja anapaswa kuandika DW HABARI kupitia namba 15511.
Kupata huduma hii andika DW HABARI WASHA kupitia namba 15511.
Kusitisha huduma andika DW HABARI ZIMA kupitia namba 15511.
Taarifa ya Michezo ya kila siku
Ili kupata taarifa ya Michezo mteja anapaswa kuandika DW SPOTI kupitia namba 15511.
Kupata huduma hii andika DW SPOTI WASHA kupitia namba 15511.
Kusitisha huduma hii andika DW SPOTI ZIMA kupitia namba 15511.