Tangu mgogoro kati ya Urusi na Ukraine ulipoanza mwishoni mwa mwezi wa pili, bado kitisho cha kusambaa kwa vita hivyo barani Ulaya kinaendelea. Nchini Ujerumani tafiti zinaonyesha watu wengi wameingiwa na wasiwasi na wanaogopa kwamba mgogoro huo unaweza kufika nchini humo. Makala ya Sura ya Ujerumani inaangazia hilo mtayarishaji ni Harrison Mwilima