Wizara ya Maliasili na Utalii nchini Tanzania imesema kuna hofu ya kuibuka wimbi jipya la ujangili wa Tembo katika hifadhi mbalimbali za taifa, kutokana na kuwepo kwa imani kwamba maini na mafuta ya Tembo yanatumika kutibu magonjwa kadhaa ya binadamu. Sikiliza ripoti ya Veronica Natalis.