1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hofu ya kamata kamata yaongezeka Zanzibar

Amina Mjahid29 Machi 2016

Hofu imeongezeka visiwani Zanzibar kutokana na kamata kamata iliyoongezeka, huku baadhi ya viongozi mashuhuri wa upinzani wakisemekana wanavikimbia visiwa hivyo.

https://p.dw.com/p/1ILNo