1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Historia

Historia kati ya Ujerumani na Zanzibar

21 Desemba 2018

Zanzibar ni visiwa vya Unguja na Pemba vilivyopo mbele ya mwambao wa Afrika Mashariki katika bahari ya Hindi. Watu wamekuwa wakiishi katika visiwa vya Zanzibar kwa zaidi ya miaka 20,000. Ingawa Ujerumani haikuwahi kutawala Zanzibar, lakini wamekuwa na uhusiano wa kihistoria kwa karne kadhaa.

https://p.dw.com/p/39s9z