JamiiHisia juu jinsi vyombo vya habari kimataifa huangazia AfrikaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamii16.08.202216 Agosti 2022Mara kwa mara vyombo vya habari vya kimataifa hushutumiwa kwa kuangazia tu matukio hasi barani Afrika au kuyapuuza kabisa. Je vijana wa Afrika katika mitaa ya Afrika Kusini, Nigeria na Kenya wanakubaliana na hayo?https://p.dw.com/p/4FcYDMatangazo