SiasaHatua zaidi za kukabiliana na wakimbizi To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaSylvia Mwehozi18.07.201718 Julai 2017Mawaziri wa kigeni wa Umoja wa Ulaya wakubaliana hatua zaidi za kukabiliana na wakimbizi. Juhudi za kufuta huduma ya Obamacare zazidi kukwama. Na Somalia yafanikiwa kurejesha huduma ya Internet. Papo kwa Papo 18.07.2017.https://p.dw.com/p/2gjpOMatangazo