1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hamburg

Hamburg ni mji wa bandari ulioko kaskazini mwa Ujerumani, wenye idadi ya watu milioni 1.75. Kwa upande wa siasa, mji wa Hamburg una viti 3 kati ya 69 ndani ya baraza la wawakilishi wa majimbo.

Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii