1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Hali ya wasiwasi Zanzibar

Admin.WagnerD13 Desemba 2012

Mikutano ya kukusanya maoni kuhusu Katiba Mpya inayoendelea visiwani Zanzibar imekumbwa na dosari kutokana na kuvamiwa na makundi ya wanasiasa wanaotaka kupenyeza hoja zao na hivyo kusababisha ghasia.

https://p.dw.com/p/171j4
Plattenbauten in Sansibar, Bilder von Stefanie Duckstein, Nutzungsrechte der DW überlassen, Oktober 2009 *** WIKIPEDIA Sansibar (auch Zanzibar; persisch ‏زنگبار‎: Zangi-bar; Bedeutung wahrscheinlich „Küste der Schwarzen“, vgl. Zandsch) ist eine Inselgruppe 30 km vor der Ostküste Afrikas. Sie besteht aus der Hauptinsel Unguja (Swahili; sprich: Unguudscha), welche von Europäern meist fälschlich Sansibar genannt wird, und der weiter nördlich gelegenen Insel Pemba. Unguja hat eine Größe von 1.658 km², während Pemba 984 km² groß ist. Sansibar ist ein autonomer Teil des Unionsstaates Tansania. Der Landesname Tansania setzt sich aus den zwei föderalen Teilen: Tanganjika und Sansibar, verbunden mit der Bezeichnung Azania zusammen. Hauptstadt und ökonomisches Zentrum ist Sansibar-Stadt mit der weltberühmten Altstadt Stone Town auf Unguja. Die Inselhauptstadt von Pemba ist Chake Chake.
Eneo la Michenzani ZanzibarPicha: DW

Kutoka Zanzibar Grace Kabogo amezungumza na mwandishi wa habari ambaye pia ni mchambuzi wa masuala ya kisiasa, Salim Said Salim. Kusikiliza mahojiano hayo bonyeza alama ya kusikilizia masikioni hapo chini.

Mwandishi: Grace Patricia Kabogo
Mhariri:Yusuf Saumu