JamiiHali ya wanawake wa DRC Mashariki08.03.20178 Machi 2017Mji wa Beni, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, unakabiliwa na machafuko na mauaji ya raia. Wanawake kushindwa kwenda mashambani na kukwama kwa shughuli za biashara, kumesababisha hali ngumu kwa familia.https://p.dw.com/p/2YpeSPicha: Imago/epd/B. RühlMatangazoJ3 08.02.2017 UN Congo Women - MP3-StereoTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio