Hali ya usalama Visiwani Zanzibar
30 Oktoba 2012Matangazo
Watu kadhaa tayari wamedaiwa kufariki mikononi mwa polisi. Kulingana na kamishna wa tume ya haki za binaadamu Tanzania, Zahor Juma Khamis, ni lazima polisi izingatie utawala wa sheria katika operesheni zake za kamatakamata. Amina Abubakar amezungumza naye juu ya hilo na alikuwa na haya ya kueleza.
(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi: Amina Abubakar
Mhariri: Yusuf Saumu